Jumapili 21.06.09 : Dar-es-Salaam
![]() |
Leo, tunakwenda Msasani, kaskazini ya Dar-es-Salaam ; ni kitongoji cha
matajiri na nyumba kubwa. |
Ni picha ya duka la wasanii wa Msasani. |
![]() |
![]() |
Hapa tunapanda bajaji (usafiri wa nchi) kwenda mwisho wa barabara. |
Nimejua Noemie anasahau siku zote kitu kila mahali ; na sasa, anasahau kitabu cha kiongozi cha Tanzania katika daladala. yaliyomo
Ni kitabu muhimu kwani kinatusaidia siku zote.
Anakwenda kusubiri daladala hiyo itarudi tena katika kituo.
Dereva amekuta kitabu, akakiuza kwa mtu mwingine ndani ya daladala.
Tunaongea sana na dereva na mtu huyu : hatimaye tukakipewa tena.
Usiku huu, hotelini, ni sherehe ya mwanamke atafunga ndoa punde.
Tunaona desturi hiyo lakini kuna makelele mengi kwa sauti ya juu.